Sasa akija mtaala chief mkwawa ,C6 na wengineo wakajibu kuwa "hiyo ni rahisi sana inafanyika tu "akaishia hapo utafurahi?Ali, hapa mwenyewe sina nyama hata kidogo kaka ndiyo maana nikatia hadharan kwa wadau c wajua tena mficha uchi hazai...
Hizo kitu zipo na tulifanyaga sana ila hazina mashiko maana unachoweza ni kuongeza namba tu mkubwa.
Hizo kitu zipo na tulifanyaga sana ila hazina mashiko maana unachoweza ni kuongeza namba tu mkubwa.
Yaani unaweza kuincrease SDcard ya 512 mb kuwa 4gb na itasomeka 4Gb ila ukija kuweka data zaidi ya 512mb haikubali.
nadhani nimesomeka