Unatumia mtandao gani?Mbona huduma iliyopo ni kuscan namba tu, hizo huduma nyingine zipo wapi?
Hapana app nimetengeneza mwenyeweTiss mmekuja kwa njia ya wazi sana
Iko vzr na nimsada pia kwa wale machomanee.Kama unatumia vocha kuongeza salio, basi hii app inakufaa sana! Inaitwa Voucher Master inapatikana Play Store โ unatumia kamera ya simu tu kuskani vocha na salio linaingia moja kwa moja bila kuandika namba yoyote.
App pia ina sehemu ya Huduma ambapo unaweza
Kuna pia sehemu ya Dharura
- Kuangalia namba yako ya simu
- Kuangalia salio lako
- Kuomba kupigiwa (Please call me)
- Huduma za pesa (Mobile money)
- Na huduma nyingine za muhimu kwa watumiaji wa simu
Kupiga moja kwa moja kwenda kwa:
Ni rahisi, ni haraka, na inafanya kazi vizuri sana. Inapatikana bure Play Store, inaitwa Voucher Master.View attachment 3380611
- Polisi
- Zima moto na Uokoaji
- Gari la wagonjwa
- Namba nyingine muhimu wakati wa matatizo
View attachment 3380612
Nimeuliza mbona huduma kama salio la dk au kifurushi cha Internet, Tanesco,Police au Registration status hazipo kama inavyoonekana kwenye picha?Unatumia mtandao gani?
Umepakua au ku update app? Hilo ni toleo jipya limeogezwa huduma hizo kwanye app ya zamani hazikuwepo, pia huduma ni kwa mitandayo ya Yas, Voda, Airtel, Halotel na Zantel kwa sasaNimeuliza mbona huduma kama salio la dk au kifurushi cha Internet, Tanesco,Police au Registration status hazipo kama inavyoonekana kwenye picha?
Nimeona tangazo huku JF na nimepakua usiku huu.Umepakua au ku update app? Hilo ni toleo jipya limeogezwa huduma hizo kwanye app ya zamani hazikuwepo, pia huduma ni kwa mitandayo ya Yas, Voda, Airtel, Halotel na Zantel kwa sasa
Mtandao gani unatumia niangalie shida ipo wapiNimeona tangazo huku JF na nimepakua usiku huu.
Asante sanaHongera sana mkuu kama umetengeneza mwenyewe nitarecommend kwa watu wengine nao watumie pia
Asante sana nitarekebishaUmekosea spelling ya Emergency kidogo.
Haitumii bandoHivi hii app unatumia bundle kuscan voucher
Kwani wewe sio TISS ?Hapana app nimetengeneza mwenyewe
Hapana. kwanini unauliza hivyoKwani wewe sio TISS ?
Nauliza hivyo maana sisi tunajuana kwa akili kubwa kama hizi zako kakaHapana. kwanini unauliza hivyo