App ya tigo pesa

App ya tigo pesa

hopaje

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
1,726
Reaction score
1,218
Hii app ya tigo pesa ipo vizurii saana kwa watumiaji wa android na apple nawashauri wadau muidwload ImageUploadedByJamiiForums1399916112.887347.jpg


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Hivi kwa kutumia hii App ya tigo pesa inawezekana Kupata (kumbukumbu) ya Miamala Unayofanya mf Pesa zote unazotuma ama kupokea...?
 
kwa app autoweza ila kwa *150*01# unaweza itakubidi ulipie 1000 utawapa email watatuma pdf ama exl
 
Back
Top Bottom