App ya sheria za nchi

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,818
7,106
Samahani sana wakuu. Naomba kujua link ya application ya sheria ya nchi yangu ya Tanzania. Maana natumia katiba kwa njia ya simu. Nahitaji pia kuwa na app ya sheria. Naomba kuwasilisha
 
App tunaweza kukutengenezea, lete fedha tufanye hiyo kazi.
 
Back
Top Bottom