App ya kutrack simu ili kujua location

App ya kutrack simu ili kujua location

Watu wengi hawajaelewa wanazani ni suala la kumfatilia mpenzi. Ieleweke lengo ni kutaka kujua location na kumfatilia mtu unaeyehitaji kumpata. Hii inasaidia Sana inapotokea mtu kakuibia na akatoroka, namna bora ya kumpata ni kuwa na app kama hizi.
 
Back
Top Bottom