App ya kuseparate maneno from the beat

Abuhamso

Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
42
Reaction score
20
Ni application gani ya simu naeza tumia kuseparate maneno/nyimbo from the beat viwe kando kando.

Nataka kusikiza beat za nyimbo flani pekee bila maneno ya nyimbo hizo. plz nisaidieni.
 
Hiyo unaweza fanya pia kwenye fl studio kwa kutumia Dashboard na Maximus. It's a bit complicated process hasa kwa beginners.
 
Hiyo unaweza fanya pia kwenye fl studio kwa kutumia Dashboard na Maximus. It's a bit complicated process hasa kwa beginners.
haya si naona ni mambo mpaka utumie computer?
 
haya si naona ni mambo mpaka utumie computer?

Kwani unataka app ya simu mkuu? May be sikukupata vizuri. But i don't think kama kuna app ya namna hiyo, unless undownload instrumental unayohitaji directly from the internet.
 
Hapa kuna hatari ya kutafuta app ya ku brush viatu kwa Kiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…