App ya kudownload lyrics

bro kay

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
254
219
Wakuu mambo niaje,

Nahitaji ku install app ambayo nikiplay wimbo popote na kuifungua hiyo app iwe na uwezo wa ku-play lyrics yake automatically.

Msaada wenu wakuu.
 
Uzuri wa musixmatch kupata lyrics sio lazima muziki upige kwenye simu yako, hata akipiga mtu mwengine inasearch unakuwa unasoma kama kawaida
 
hiyo musixmatch inahitaji uwe online i mean haiwez ika download na ukasoma ukiwa offline
 
hiyo musixmatch inahitaji uwe online i mean haiwez ika download na ukasoma ukiwa offline
Ukishadownload ukipiga wimbo mara ya kwanza kusearch mashairi lazima uwashe data ila ukishapata mashairi utakuwa offline na mashairi yatasoma kawa kawaida, now days hadi nyimbo za kibongo zina mashairi japo sio zote
 
Nakushauri utafute app ya Genius, zamani ilikuwa ikiitwa Rapgenius as it focused mainly on rap and hip hop education. Lakini sasa hivi ni multi-genre, kuna mamillion ya lyrics na unapata kujua maana ya lyrics na baadhi ya rap verses zenye utata zinapata kudiscussiwa huko.
 
Noted mkuu
 
Back
Top Bottom