App ya kublock simu zinazoingia

App ya kublock simu zinazoingia

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wadau nahitaji app ya kublock mtu akipiga simu isiite na wala isiseme chochote. App nyingi ukiblock simu itaita na kusema namba unayoipigia inatumika sasa hiyo watu wengi wanaijua. Natanguliza shukrani
 
Mwambie anaekupigia aache kukupigia utakuwa umepunguza usumbufu na umemsaidia huyo mtu, simu ya kwako kwanini ukose amani.
 
Back
Top Bottom