teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wadau nahitaji app ya kublock mtu akipiga simu isiite na wala isiseme chochote. App nyingi ukiblock simu itaita na kusema namba unayoipigia inatumika sasa hiyo watu wengi wanaijua. Natanguliza shukrani