App ya ku track wagonjwa wa Corona

App ya ku track wagonjwa wa Corona

Chief

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2006
Posts
3,958
Reaction score
3,704
Kumekuwa na habari kuwa namba ya wagonjwa wa Corona walioambukizwa, wanaoumwa, waliopona na waliofariki inakuwa understated na serikali. Naamini si mpango wa serikali kutoa data ambazo si za kweli bali ugumu wa ukusanyaji wa takwimu.

Kwa kuwa wagonjwa karibu wote tunaanza nao huku huku majumbani, wabobezi wa IT watengeze app ambayo raia wata download na kujisajili. Halafu watatoa taarifa ya anayedhaniwa ni mgonjwa ie jina, umri, jinsia, alipo na symptoms anazoonyesha, status yake, (hai, amekufa)

App hii itakusanya data na kuwarahisishia watumishi wa idara ya afya kufuatilia na kujua ukubwa wa tatizo. Tahadhari ni kuwa hawa wagonjwa wahesabiwe kuwa hawajathibitishwa, lakini najua kwa asilimia kubwa itatoa picha halisi zaidi.
 
Back
Top Bottom