App ya ku track messages za namba nyingine

Usijaribu hiyo kitu mkuu, najua mpenziwako anachepuka,
 
Zipo nyingi ambazo zinatoa huduma iyo bure ila inahitajika ufanye instalation kwenye sim yake na inaoption ya kuitoa aps iyo isionekane kwenye apps screen na kuilock asiweze ku unstall ila inafanyakazi endapo tu atakuwa online sim yake itatuma data zote zilizopo kwenye sim yake kama vile picha, call log ambazo zipo recorded, sms , contact ambazo zipo kwenye sim yake, installed apps mwenye sim yake, na pia kama sim yake uyo mtu unayemtruck kaweka gps on unauwezo wa kujua yupo wap na kama anamove utajua anakwenda wap kwasababu inaoption ya live data . je unahitaji link ni kwa watumiaji wa android tu . USITUMIE APPS IYO KWA UVUNJIFU WA SHERIA.
 
weka link plz
 
Itafungua website inayohusika na kutruck ikifunguka ingia kwenye install/help tab ili uweze kuidownload. Kabla hujafanya installation jiregiste kwanza ili utakapofanya installation uweze kulog in kwa urais. Kumbuka apps iyo unainstall na kulog in kwenye sim ya mtu unayetaka kumtrack ill ww uweze kupata data kwa kutumia website yao
 
cool
 
Ila uwe na moyo kama unahisi unaibiwa unaweza ukanywa sumu
 
link ya hzo mambo ushapewa ila nakupa ushaur

hicho unachokitafuta kwanza ni uvunjifu wa sheria kwa maana akijua anaweza kukushtak pili huo moyo wa kuvumilia hayo unayoyatafuta kama huyo mtu ni mwenza wako unao usje ukajuta kwann ulifanya hvyo.
 
bata ukimchunguza sana huwezi kumla....mimi hata ingekuwepo nisingedownload...utajiua mapema kijana na presha
 
Zipo nyingi ambazo zinatoa huduma iyo bure ila inahitajika ufanye instalation kwenye sim yake na inaoption ya kuitoa aps iyo isionekane kwenye apps screen na kuilock asiweze ku unstall ila inafanyakazi endapo tu atakuwa online sim yake itatuma data zote zilizopo kwenye sim yake kama vile picha, call log ambazo zipo recorded, sms , contact ambazo zipo kwenye sim yake, installed apps mwenye sim yake, na pia kama sim yake uyo mtu unayemtruck kaweka gps on unauwezo wa kujua yupo wap na kama anamove utajua anakwenda wap kwasababu inaoption ya live data . je unahitaji link ni kwa watumiaji wa android tu . USITUMIE APPS IYO KWA UVUNJIFU WA SHERIA.
Mimi pia naihitaji
 
Duniani watu wanatafuta presha kwa Mb zao, watu wengne wanapata presha na wasiwasi kuhusu mali na utajiri walio nao lakini wewe ni tofauti.
Principle moja elewa aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea, mawazo yako yako kwa mpenzi wako tu nenda kwa babu ukatengue hiyo limbwata
 
Back
Top Bottom