Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,270
- 1,111
Habari za mchana huu wanajamii. leo nimekuja na hii hoja ya kuwa napenda kuwauliza apps developers wa humu ndani kuwa kumekuwa na apps kwaajili ya OS mbalimbali kama vile iOS, BB OS na Android.
Mie nikiwa ni mtumiaji wa Android App upande wa JF kweli nimeinjoi sana maisha na hii app kwa kunifanya niwe updated almost 24/7. Hongera kwa developers wote.
Hivi karibuni nataka kuhamia windows 8 OS (mie low budget user frankly speaking) kutoka Android low budget user za kina samsung na huawei .
Kikubwa nitakachokimiss ni hii app ya forum yangu pendwa. Hapa ndio napenda kuuliza kuwa kwanini hakuna app ya Windows phones ya JF?
Cc; CHIEF MKWAWA, Young Master, Watu 8, Waheed Suday na wengineo.
karibuni sana

Last edited by a moderator: