App ya jf ktk iphone4

Almeda

Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
53
Reaction score
10
Hbr wana jf, naomba kujuzwa jinsi ya kuitumia maana kila ninapoifungua nashindwa kulog in maana inafunguka moja Kwa moja ktk forum na ndiyo maana napata SMS kutoka Kwa admistrater kuniuliza ww ni nano sb najua siku sign in
 
Hii app inamatatizo sa hv.. Nadhani timu ya JF inafanya kazi kui-update
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…