Tatizo sio app tatizo ni kwamba Google wameondoa zile Api kabisa za kunasa sauti kwa ajili ya call recording katika Pixel kabla ya 9 so hata app zinapata shida kunasa sauti za upande wa pili, kwa hiyo kama unataka recording ni bora kununua simu ambayo ina uwezo huo ndani yake teyari bila kutegemea app za kuinstall.Wakuu..
Kama unatumia pixel utakubaliana na mimi kuwa hizi simu hazina option ya ku-record call(Due to private rules)
Sasa nimekuja kwenu kuomba kujuzwa App nzuri ya ku-record calling kwa hizi pixel