App nzuri ya biblia

Siachi hela

Senior Member
Jun 17, 2022
136
248
Wadau naomba anayefahamu app nzuri ya biblia yenye features nzuri zaidi zinazorahisha usomaji, utunzaji kumbukumbu, na utafutaji wa maandiko.
Kwenye play store zipo nyingi Sanaa kiasi kwamba zinachanganya kubaini ipi itakuwa nzuri. Asante.
 
1666520083726.png
 
Hii kwangu ni best make na reading plan pia zipo, inasupport pia version zingine za biblia humo humo kiufupi iko poa sana.
Screenshot_2022-10-24-13-12-31-796_com.android.vending.jpg
 
Hii kwangu ni best make na reading plan pia zipo, inasupport pia version zingine za biblia humo humo kiufupi iko poa sana.View attachment 2396413
Hii Biblia kiukweli ni nzuri ila tatizo lake kuna baadhi ya aya zinamiss yaani hazimo na nafikiri hii ilikuwa tatizo la kiuandishi, labda wakati wa kukopy na kupaste aya zingine zikawa zinamiss. Na kama developer hajang'amua hilo tatizo hatalifix yeye ataendelea kuboresha vitu vingine mpaka pale atakapoambiwa.


Sent from my cupboard using mug
 
Wadau naomba anayefahamu app nzuri ya biblia yenye features nzuri zaidi zinazorahisha usomaji, utunzaji kumbukumbu, na utafutaji wa maandiko.
Kwenye play store zipo nyingi Sanaa kiasi kwamba zinachanganya kubaini ipi itakuwa nzuri. Asante.
Mkuu achana hzo zote tafuta hii hapa ndio biblia namba moja duniani ina kila aina ya lugha hadi za kabila lako na feature kemkem pia ina wenza soma kwa sauti ya karibia kila lugha kuna font stylish NK....
Screenshot_2022-10-25-22-41-16-833_com.android.vending.jpg
Screenshot_2022-10-25-22-43-54-376_com.sirma.mobile.bible.android.jpg
Screenshot_2022-10-25-22-43-42-088_com.sirma.mobile.bible.android.jpg
Screenshot_2022-10-25-22-43-37-527_com.sirma.mobile.bible.android.jpg
Screenshot_2022-10-25-22-43-29-474_com.sirma.mobile.bible.android.jpg
Screenshot_2022-10-25-22-42-49-037_com.sirma.mobile.bible.android.jpg
 
Back
Top Bottom