britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,063
- 47,031
Delete old version.. Install new oneNingeendelea kubaki na version ya zamani
Hapa ku search jambo ina ka mlolongo
Uki post kuedit shida
Ukiweka Link ya Uzi uliopita ukibonyeza kuusoma inagoma
NIMEREJEA KWENYE WEB BROUSER KAWAIDA SASA
Britanicca
Hahaha Pole binafsi, huwa situation mkumbo nasikilizia niwe wa mwisho kwanza
Pole sna bwasheHata kwenye notification inaleta view thread ukinonyeza unajitoa nje
Ndo maana waswahili walisema, kipya kinyemi japo. Kidonda. Ni mazoea tu. Siku zote ukisha zoea kitu kikibadilika itachukua muda kidogo kuzoea na hatimaye kukipendaNingeendelea kubaki na version ya zamani
Hapa ku search jambo ina ka mlolongo
Uki post kuedit shida
Ukiweka Link ya Uzi uliopita ukibonyeza kuusoma inagoma
NIMEREJEA KWENYE WEB BROUSER KAWAIDA SASA
Britanicca
naunga mkono hoja mia kwa mia 🐒Ningeendelea kubaki na version ya zamani
Hapa ku search jambo ina ka mlolongo
Uki post kuedit shida
Ukiweka Link ya Uzi uliopita ukibonyeza kuusoma inagoma
NIMEREJEA KWENYE WEB BROUSER KAWAIDA SASA
Britanicca