jini makata
Member
- Jun 7, 2017
- 66
- 35
asante kwa taarifa lakini hapo jua bakhresa amepata fursa maana ni wangapi mtakaoilipia hiyo app, itv walianza hivo lakini sasa hivi wanajipatia kipato kupitia app yao hii tena wanaipromot kila mara. hapo kwenye azam dh rekebisha ni azam hdLeo ni siku ambayo azamtv wamezindua app yao ambayo pamoja na taarifa mbalimbali pia utapata fursa yakuona tvonline 7 zikiwemo azam one,azam two,azam dh,zbc2,sinema zetu na nyengine kwangu mie nimeona iko poa sana nakutupa fursa hata tukiwa nje ya majumba yetu kuweza kutazama
Asante azam tv
Okasante kwa taarifa lakini hapo jua bakhresa amepata fursa maana ni wangapi mtakaoilipia hiyo app, itv walianza hivo lakini sasa hivi wanajipatia kipato kupitia app yao hii tena wanaipromot kila mara. hapo kwenye azam dh rekebisha ni azam hd
Itupie hapa mkuu, au tunaipatajeLeo ni siku ambayo azamtv wamezindua app yao ambayo pamoja na taarifa mbalimbali pia utapata fursa yakuona tvonline 7 zikiwemo azam one,azam two,azam hd,zbc2,sinema zetu na nyengine kwangu mie nimeona iko poa sana nakutupa fursa hata tukiwa nje ya majumba yetu kuweza kutazama
Asante azam tv
Kwasasa free ila utailipia sh 9000 kwa mweziHii habari imeletwa na jini hata siiamini hahaha [HASHTAG]#utani[/HASHTAG]
Poa mkuu, ngoja tukaicheki halafu vipi unastream kama ile ya ITV au unalipia kifurushi??
Kaka ipo kwenye playstore andika azamtv_Itupie hapa mkuu, au tunaipataje
poa asee mkuuKwasasa free ila utailipia sh 9000 kwa mwezi
ipoIle channel inayo onyesha laliga ipo?
Andika neno azamtv_Nimechek playstore haipo mbona?
Ya ITV uzito wake kilo ngapi mkuu.App ya AzamTV iko vizuri sana,wametisha ktk ubunifu halafu iko smooth tofauti na ile ya ITV ambayo ni nzito.
Hongera sana AzamTV hayo ndo mambo tunayotaka.
Haipo play store mkuu.Kwasasa free ila utailipia sh 9000 kwa mwezi