App Mpya Kwa ajili ya Kuuza na Kununua Electronics

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
355
Reaction score
276
Habari wana JF, ni muda mrefu sana umepita toka kuandika makala kupitia JF lakini tumekuwa wasomaji wakubwa wa baadhi ya maswali ya watu. Siku ya leo tumekuja na ombi la muhimu uweze kutusaidia kutest au kufanya majaribio ya app yetu mpya kabla hatuja amua kuitangaza rasmi.

App inatwa KLIK LOKO, lengo la App ni kutengeneza sehemu ya kununua na kuuza lakini vifaa vya kielekroniki pekee. Tofauti na mitandao mingine hii itakuwa inajikita zaidi kwenye vifaa kama simu, kompyuta, TV na vifaa vingine.

Tunaomba maoni yenu kwani ni muhimu sana sana na najua humu kuna wataalamu wengi hivyo kwa pamoja tupeane mwanga nini cha kufanya ili App hii iweze kufaulu. Unaweza kuandika maoni yako hapa au kupitia soko la Play Store.
 
Samahani inauza electronics device like RADIO TV AU COMPONENTS KAMA CAPACITORS NK
 
Acheni kuiga hizo platform sasa bongo zipo kibao..kuna kupatana, zoom..jumia..etc etc au nyie ya kwenu itakuwa na kip cha tofauti?
 
Kuwepo kwa kitu haimaniishi kuwa watu wasitengeneze kwa sababu tu vipo. Tupo kwenye soko huria kwahiyo kila mtu ana haki ili mradi asivunje sheria za mitandaoni. Hapo ulipo una hata blog au website?
 
Acheni kuiga hizo platform sasa bongo zipo kibao..kuna kupatana, zoom..jumia..etc etc au nyie ya kwenu itakuwa na kip cha tofauti?
Yapo mambo mengi sana ya tofauti, moja hii sio ya kuuza na kununua kila kitu, mbili hii haina tovuti bali ni app pekee.
 
Habari wana JF, ni muda mrefu sana umepita toka kuandika makala kupitia JF lakini tumekuwa wasomaji wakubwa wa baadhi ya maswali ya watu. Siku ya leo tumekuja na ombi la muhimu uweze kutusaidia kutest au kufanya majaribio ya app yetu mpya kabla hatuja amua kuitangaza rasmi.

App inatwa KLIK LOKO, lengo la App ni kutengeneza sehemu ya kununua na kuuza lakini vifaa vya kielekroniki pekee. Tofauti na mitandao mingine hii itakuwa inajikita zaidi kwenye vifaa kama simu, kompyuta, TV na vifaa vingine.

Tunaomba maoni yenu kwani ni muhimu sana sana na najua humu kuna wataalamu wengi hivyo kwa pamoja tupeane mwanga nini cha kufanya ili App hii iweze kufaulu. Unaweza kuandika maoni yako hapa au kupitia soko la Play Store. Unaweza kupakua App hiyo kupitia link hapo chini.

Tunatanguliza shukurani za dhati sana kwa wote mtakao jaribu app hii na kutoa maoni yetu. Asanteni SANA.
Hivyo vitu vitakua vipya au used?
 
Nimeona nzr Sana shida ntajuaje km hyo app Ni salama ?? Maana utapeli mwingi ckuizi
 
Habari wana JF, ni muda mrefu sana umepita toka kuandika makala kupitia JF lakini tumekuwa wasomaji wakubwa wa baadhi ya maswali ya watu. Siku ya leo tumekuja na ombi la muhimu uweze kutusaidia kutest au kufanya majaribio ya app yetu mpya kabla hatuja amua kuitangaza rasmi.

App inatwa KLIK LOKO, lengo la App ni kutengeneza sehemu ya kununua na kuuza lakini vifaa vya kielekroniki pekee. Tofauti na mitandao mingine hii itakuwa inajikita zaidi kwenye vifaa kama simu, kompyuta, TV na vifaa vingine.

Tunaomba maoni yenu kwani ni muhimu sana sana na najua humu kuna wataalamu wengi hivyo kwa pamoja tupeane mwanga nini cha kufanya ili App hii iweze kufaulu. Unaweza kuandika maoni yako hapa au kupitia soko la Play Store. Unaweza kupakua App hiyo kupitia link hapo chini.

Tunatanguliza shukurani za dhati sana kwa wote mtakao jaribu app hii na kutoa maoni yetu. Asanteni SANA.
weka link ya windows
 
Napendekeza maboresho ya App yajikite kwenye usalama wa fedha kwa muuzaji na mnunuzi...kwa mfano muuzaji yampasa ajisajllili na aweke picha ya kitambulisho chake na picha yake pamoja na anuani ili iwe rahisi kumtafuta siku akifanya sivyo kwa wateja
 
Back
Top Bottom