App lock yaniharibia ndoa yangu

App lock yaniharibia ndoa yangu

Ebhana kama ilivyo ada kwetu wanaume kuchepuka ilihali tumeoa na tunawapenda wake zetu na kuwajali pamoja na kuwatimizia yote ila kikubwa zaidi kufanya kwa siri sana wake zetu wasijue.

Ebhana jana usiku kama kawaida nimerejea toka mihangaikoni nikapita direct chumbani na kuvua nguo na cm yangu nikachomeka charge basi baada ya kula nikenda kuoga nilikuwa hoi sana nikalala fofofo.

Kumbe mwenzangu alikuwaga ananilia timing namna ya kutoa pattern akashika cm na kuanga kupekua kila kitu ebwana kwakuwa ninatumia App lock huwa sifuti chat zozote na mchepuko wangu mbaya zaidi huwa anapenda sana kukumbushia mechi baada ya siku kuanzia kwenye Voda mpaka mtandao pendwa Tigo .


Wife kamind kinyama na ninavyoongea now nimeshakuwa mgane while ninampenda sana mke wangu kuchepuka ni hulka tu sio kumchukia but no way out kuiamini sana App lock kumeniponza.

My take; Wanawake msikubali kuachika kisa mume kakusaliti hakuna mwanaume asiyechepuka duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom