App gani nzuri ya Jamiiforums

Mrukus

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
396
Reaction score
192
wakuu poleni na ujenzi waTaifa.



naomba kujuzwa ni application gani nzuri ni itumie niweze kuenjoy jamiiforum mbali na Taptalk na JF app Asante[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kwani app hizo hu enjoy? Kama kuna kitu kinakukera si bora utoe maoni yako playstore au website ya tapatalk kuliko watu waanze upya na app nyengine?
 
wakuu poleni na ujenzi waTaifa.



naomba kujuzwa ni application gani nzuri ni itumie niweze kuenjoy jamiiforum mbali na Taptalk na JF app Asante[emoji120] [emoji120] [emoji120]

Sidhani kama kuna mbadala wa hizo mbili.
Nakushauri uhamie kwenye computer kama apps hazipo favourable kwako.
 
Kwani app hizo hu enjoy? Kama kuna kitu kinakukera si bora utoe maoni yako playstore au website ya tapatalk kuliko watu waanze upya na app nyengine?



Ndio mkuu. inshort sì enjoy kama ninavyotaka itanibidi ni hamie kwenye Pc kama alivyosema mkuu Bavaria

Asante Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama kuna mbadala wa hizo mbili.
Nakushauri uhamie kwenye computer kama apps hazipo favourable kwako.

Asante mkuu kwa ushauri . ukiachilia mbali computer je kuna other altenative my be.
Bavaria
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…