App gani inaweza detect tochi za trafic barabarani?

App gani inaweza detect tochi za trafic barabarani?

mlekulechoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
1,366
Reaction score
1,059
Hakuna ubishi...trafic wamezid!wengine wamefikambali zaidi na kujificha vichakani!unapigwa tochi bila kujua...utashangaa unasimamishwa huko mbele na kuambiwa spidi yako ilikua above 50km/hr....je waungwana kuna app yoyote ambayo inaweza wabaini hawa waungwana walipojificha?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dawa ni kumaintain speed tu. Msitegemee kila kitu mkikute google play
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jaribu ku google kama ipo? Mimi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kweli: kuna hadi vifaa vya ku-alter speed gun reading...



But where are we headed?

Driver mmoja au Mwingine ahepe speed gun ama breathalyzer kisha kule mbele asababishe ajali kutokana na overspending au driving under the influence???

Nidhamu barabarani muhimu: from drivers, officers & not forgetting pedestrians!
 
kuna kifaa kinaitwa RADAR DETECTOR vifaa hivi vina detect tochi zote za askari kwa range tofauti tofauti...kulingana na uwezo wako wa kifedha..kinapoona miale ya tochi za askari mbali kinapiga kelee. bei zake kuna za 25usd,35usd,59usd,150usd, nakazalika

radardetector2.jpg
 
Mkuu usiombe kuna trafic mpaka wanapanda juu ya miti hasa maeneo yachalinze mpaka ubena zomozi barabara ya moro-dar [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tafuta Radar detector mkuu agiza ebay Dollars 45 tu utaweka mbele ya gari n kabla hujawafikia au trafiki ita detect na kuku alert hivo utapunguza speed normally
 
kuna kifaa kinaitwa RADAR DETECTOR vifaa hivi vina detect tochi zote za askari kwa range tofauti tofauti...kulingana na uwezo wako wa kifedha..kinapoona miale ya tochi za askari mbali kinapiga kelee. bei zake kuna za 25usd,35usd,59usd,150usd, nakazalika

radardetector2.jpg
Huwa wanzazimaga siku hizi Tochi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom