Chakulagani
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 271
- 51
Unakuta mtu amepost Uzi akaweka attachment ya video kila nikifungua huwa haifunguki. Kindly inakupasa simu iwe na program gani kuweza Ku access?
Natumia NOTE 2 na Techno C8.
Msaada ndugu zangu..
Natumia NOTE 2 na Techno C8.
Msaada ndugu zangu..