scorpion girl
Senior Member
- Oct 19, 2012
- 173
- 95
Mmmmh ndefu mno msamaha kama huu uuongee sio kuuandika unatia uvivu hata lile la muhimu unaweza ukaliruka usilisome duuuuh hope umesamehewa
Hayatuhusu. Umbeya tu. Anzisha mada yenye mantiki. Kwa mawazo yako, unaona hii ni mada kweli?