taja zako tano kali zaidi ya hiyoHujui movie wewe
Jaguar paw alisema msitu na kila kilichomo vinamsujudia hivyo ikawa bad omen kwa kina zero wolfMm nafurahi sana kumuona yule mtoto ambaye anawaambia wale mateka maneno ya kinaabii mfano anasema YOU ARE VILE WOULD YOU LIKE TO KNOW HOW YOU WILL DIE? WOE TO A MAN WHO BRINGS JAGUA PAL .....THE SACRED HOURS IS AT HAND..HE IS WITH US!!!
KAMA UMESHINDWA kuelewa ndio kosa hiloNashindwa kuelewa movie zetu za kibongo tunakosea wapi?