Naomba Msaada Ambao Si Wa Kudharaulika! Mimi ingawa Ni Diploma Holders (DIPLOMA IN PHARMACEUTICAL TECHNICIAN) Lakini Pia Nimemaliza A-Level PCB na nimepata Principal Ya Physics & Biology.
Lakini Nilipoingalia GuideBook Nikakutana Na Maneno Haya Ambayo Yamenipa Matumaini:-
"(Diploma in Pharmaceutical Sciences or GPA of 3. 5 With an average of . Principal passes at any grade in Physics/ Mathematics, Chemistry or Biology at “A” level will be an added Advantage)"
Sasa Kwakweli Baada Ya Kuona Kuwa Ukiwa Na Pricipal Ya Aina Yoyote Hile Kwenye (M/PCB) unapewa Kipaombele! Nimevutiwa Na Kujaza Matokeo Ya Advance Huko TCU.
Swali Langu Ninalowauliza Kutaka Kusaidiwa Ni Jee Katika Hiyo System Ya TCU ipo Sehemu Ya Kujaza Matokeo Ya Advance??