API ni nini katika ulimwengu wa software?

Dejong031

Member
Joined
Jun 7, 2020
Posts
92
Reaction score
99
Wakuu habari, nikiwa kama junior na beginner kabisa kwenye industry ya tech naomba kuelimishwa kwa lugha nyepesi kidogo Maana kamili ya API kama tunavyotumia kwenye programming!!!

Asalaam! Kwenu wataalam.
 
Kwa lugha nyepesi ni njia ya mifumo miwili au zaidi kuwasiliana. Kwa Mfano unapofungua application ya Mpesa kwenye simu na kutuma pesa, application inatuma na kupokea data kwenda mifump ya Mpesa kutumia API. Ni kama njia ya kupitisha data
 
Ndio ni kama delivery guy.
 
Ni kama mtu kati kwenye biashara..
 
Tuseme umetengeneza ChatBot ambayo ina uwezo wa kuelewa Kiswahili vizuri sana kuliko ChatGPT

Sisi Vodacom tukaona tunaweza tumia ChatBot yako kuboresha Customer service yetu kwa kutumia ChatBot yako kujibu maswali ya wateja wetu

Huwezi kutupa sourcecode zako, kwa sababu hutakiwi kutupa, it's your trade secret

Sasa unachofanya ni kutengeneza API

API kwenye programming ni URL ambayo sisi Vodacom tutaitumia kutuma Request (ombi lenye taarifa kama "Swali la mteja")

Mfano https://your-chat-bot.com/api/request

Kisha wewe uta feed hili swali kwenye ChatBot yako, kisha Response itarudi kwetu kwenye URL nyingine ikiwa na jibu la swali la mteja wetu

Kwa njia hii tunaweza integrate ChatBot yako kwenye web services zetu bila ya kupata access ya sourcecode zako au implementation details za ChatBot yako
 
Kwa lugha nyepesi ni njia ya mifumo miwili au zaidi kuwasiliana. Kwa Mfano unapofungua application ya Mpesa kwenye simu na kutuma pesa, application inatuma na kupokea data kwenda mifump ya Mpesa kutumia API. Ni kama njia ya kupitisha data
Kakaa nimekupata
 
Tuseme umetengeneza ChatBot ambayo ina uwezo wa kuelewa Kiswahili vizuri sana kuliko ChatGPT

Sisi Vodacom tukaona tunaweza tumia ChatBot yako kuboresha Customer service yetu kwa kutumia ChatBot yako kujibu maswali ya wateja wetu

Huwezi kutupa sourcecode zako, kwa sababu hutakiwi kutupa, it's your trade secret

Sasa unachofanya ni kutengeneza API

API kwenye programming ni URL ambayo sisi Vodacom tutaitumia kutuma Request (ombi lenye taarifa kama "Swali la mteja")

Mfano https://your-chat-bot.com/api/request

Kisha wewe uta feed hili swali kwenye ChatBot yako, kisha Response itarudi kwetu kwenye URL nyingine ikiwa na jibu la swali la mteja wetu

Kwa njia hii tunaweza integrate ChatBot yako kwenye web services zetu bila ya kupata access ya sourcecode zako au implementation details za ChatBot yako
Mzee nimepata pa kuanzia sasa , hii concept imenisumbua sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom