Apewa talaka baada ya ndoa.

Hata kama kachorwa na mwanamke mwenzake talaka ilikuwa halali yake.
Binti ni mdogo pengine hakupata mafundisho mazuri kwao na huenda hata hakujua kama angemuudhi bwana alichojua yeye ni kumfurahisha mume hivyo mume angemsamehe na kumpa mafunzo mazuri.
 
Ishu sii hina kinachoumiza hapo aliekuchora ni ni jinsia gani kama ni mwanaume hapo ndo shida kidogo
 
Mume kawaza mbali sn ,aliemchora kwel hajapima ata oil ? Wivu ukamkolea kapiga red card
 
Ndio mi sipendi mwanaume mwenye tatoo,
Na hinna mimi binafsi siipendelei sana japo wanaochorwa huona wamependeza.
Mambo yasiwe mengi
Kikubwa upendo
Huenda jamaa hakua akipendelea inna
 
"" Ila mi binafsi sipendi mwanaume mwenye tatoo kama unatatoo kaa mbali na mimi. "'
Bahati nzuri wewe sio muoaji,ni muolewaji
 
Tumejua hupendi mwanaume mwenye tattoo
 
Mimi sina tattoo, nikae karibu na wewe?
 
"" Ila mi binafsi sipendi mwanaume mwenye tatoo kama unatatoo kaa mbali na mimi. "'
Bahati nzuri wewe sio muoaji,ni muolewaji
Kwa maana hiyo sina haki ya kuchagua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…