Apewa talaka baada ya ndoa.

hivi unaanzaje kumanua ili uchorwe K........hiyo talaka ni haki yake......hata kama ulichorwa na mwanamke mwenzio......upuuzi tuu
Binaadamu tunamapungufu hivyo ye angemsamehe na kumuonya asichore tena mi nadhani ingekua busara zaidi
 
Binaadamu tunamapungufu hivyo ye angemsamehe na kumuonya asichore tena mi nadhani ingekua busara zaidi
hilo ndio tatizo la kuoana kwa mihemko.....hawajafahamiana kisawa sawa.....ingelikuwa hivyo hata kujichora asingedhubutu......wanawake mmeumbiwa aibu.....sasa iweje ukae manuu uchorwee....mwenye haki pekee ya kuangalia uvinza ni mmewe...iweje na popo wamulike....iwe fundish.o.
 
weka picha ya k tuone hizo mamichoro otherwise ni UZUSHI.
 
Na kweli iwe fundisho maana binti wa watu kapata mtihani ambao hakuutegemea ilikua furaha kumbe ikageuka machungu ya mwaka.
 
Maryam Kondo ndio huyo aliyechorwa hinna, au ndie aliyeachwa? Ila hata mimi nikichorewa hinna hadi kwenye K aaah naacha mtu

Hayo mambo ya kuchorewa hinna hadi kwenye K yanafanywa na michepuko bana
 
Hapana aliechorwa na alieachwa na hilo jina ni tofauti kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…