Apewa talaka baada ya ndoa.

mirna92

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2019
Posts
502
Reaction score
1,003
Habari za eid ndugu wana jf?
Swali kwenu wanaume hivi unaanzaje kumuacha mwanamke uliempenda kwa dhati?
Au mnakuaga mnajaribu tu hayo mapenzi?
Huyu kaka kanikera sana baada ya kumpa talaka mke wake masaa machache baada ya ndoa
Kisa kachora hinna mpaka kwenye k,
Kwani hampendi tupendeze kwa ajili yenu?
Ila mi binafsi sipendi mwanaume mwenye tatoo kama unatatoo kaa mbali na mimi.
 

Attachments

  • VID-20190607-WA0002.mp4
    2.3 MB
Kakukera vipi sasa?
Jamaa kajiuliza nani alikua mchoraji
Usikute kaambiwa mkewe alichorwa hinna na mwanaume sasa vaa viatu vya jamaa tuone
 
Mwezi wa 12 nina mwezi mzma wa kukaa mwanza dada kwako naweka week 1 tutakuwa pamoja
Karibu sana nitakuzururisha mpaka basi!!!!
Karibu Mwanza ufurahie maisha mazuri, hali ya hewa nzuri, viwanja vya uhakika
Pia wanaume wa huku ni wa karimu. Sio wa huko Dar, nasikia akikununulia soda ya fanta ile unaanza tu kunywa tayari anakuswali "hivi kuna guest karibu maeneo haya..." hahahahahahahhah
 
Kakukera vipi sasa?
Jamaa kajiuliza nani alikua mchoraji
Usikute kaambiwa mkewe alichorwa hinna na mwanaume sasa vaa viatu vya jamaa tuone
Sasa hata kama ni mwanamme aliyemchora, si ilikuwa ni ajira tu ya muda mfupi ya kumpamba Bi harusi. hahahahahahaah
 
Hahahah umesahau tena mm wa idodomyaa dar nilishagoma kabisa
 
Sasa hata kama ni mwanamme aliyemchora, si ilikuwa ni ajira tu ya muda mfupi ya kumpamba Bi harusi. hahahahahahaah
Utani huo
Yaani urembo ndio sehemu za siri ziwe public mpaka kwa wapaka hinna?
 
Mimi sina tatoo... Utanifaa na nitakufaa.. tutaendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…