Apartments zinauzwa zipo Msasani beach

Apartments zinauzwa zipo Msasani beach

denisi_masoko

Senior Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
179
Reaction score
150
Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara,


Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2.


Unit zinapopatikana hapa ni one, two na three bedrooms. Ambapo bei zake zinaanzia 94000 dola, mfumo wa malipo utachagua ww

ukitaka kulipa yote au kwa installment.

Na ukitaka kulipa kwa installment muda ni miezi 20 hadi 24 yaani miaka miwili.

Ukinunua apartments hizi unapewa umiliki wa unit yako kwa kupewa tittle died au hati ya jina lako kwenye hizi apartments.

Bei zake.

One bedrooms zinaanzia 94000 usd

Two bedrooms zinaanzia 143,000 usd

Three bedrooms zinaanzia 195,000 usd.

Bei hizi ni mpaka tarehe 1 mwezi wa 3 mwaka huu, kwa sababu kuanzia tarehe 1 bei zinapanda, kwa sabb tulianza na bei hizi kabla hata hatujaanza ujenzi na kwa sasa tupo floor ya 6.


Mfumo wa malipo na discount

Kianzia cha malipo ni 30% na kuendelea.

Ukilipia 30% discount 5%

Ukilipia 50% discount 7-10%

Ukilipia yote discount 12-15%

Installment 20-24 months.


Kutembelea site yetu ni bure thnafanya kazi siku 7 kwa wiki.

Ofisi ziko wazi kuanzia saa 9 asubuhi hadi 12 jioni.

Naomba tupigie kama unataka maelezo zaidi ya mradi, ama unataka kuja ofisini kwetu, namba 0743 598 873 whatssap pia ipo.

Karibuni mango tree residence muwekeze ni location nzuri sana kwa airbnb, apartment renting, restarant ama unaweza kuweka hotel na ni mradi ambao una aminities zenye kuvutia wageni na ni beach kabisa sea view kama zote, karibu uwekeze hapa uzee hauna hodi.

Denis masoko

0743 598 873

Karibuni watanzania fursa ndio hii
 

Attachments

  • IMG-20260112-WA0005.jpg
    IMG-20260112-WA0005.jpg
    63.9 KB · Views: 7
Back
Top Bottom