Apartments Dar

Apartments Dar

Adjussi

Member
Joined
May 25, 2014
Posts
39
Reaction score
15
Habari zenu wakuu, kwa anaefahamu wapi naweza kupata nyumba kwa bei ya laki tatu na nusu au nne kwa vyumba viwili,jiko,sebule.Kama ni apartments za nyumba za chini kuwe na uzio kama ni apartments ktk ghorofa uzio si lazima. Naomba kujuzwa wakuu.Nitalipa pesa ya udalali kwa atakaeniwezesha kupata kwa bei hio kama zipo.
 
Kigamboni kibada pana nyumba nzima with fance ...vp?
 
Ninayo Nyumba kinyerezi (mmiliki )fenced eneo lina Nyumba tatu
 
Habari zenu wakuu, kwa anaefahamu wapi naweza kupata nyumba kwa bei ya laki tatu na nusu au nne kwa vyumba viwili,jiko,sebule.Kama ni apartments za nyumba za chini kuwe na uzio kama ni apartments ktk ghorofa uzio si lazima. Naomba kujuzwa wakuu.Nitalipa pesa ya udalali kwa atakaeniwezesha kupata kwa bei hio kama zipo.

Ipo laki sita gorofa 1,chang'ombe unajitegemea kila kitu
 
Mkuu,

unapendelea hivyo nyumba iwe maeneo gani?
 
kimara bonyokwa kuna apartment nzuri balaa!mimi si dalali nakusaidia tu,Bro wangu amemaliza ujenzi nyumba yake anahama mwisho wa mwezi huu kama utakua intrested!Ina sebule,dinning,vyumba vitatu,choo na bafu self na kwenye master kuna choo na bafu + water supply nafkr jamaa mwenye apartment kachimba kisima tiles nyumba nzima!
bei 300,000/=
 
Habari zenu wakuu, kwa anaefahamu wapi naweza kupata nyumba kwa bei ya laki tatu na nusu au nne kwa vyumba viwili,jiko,sebule.Kama ni apartments za nyumba za chini kuwe na uzio kama ni apartments ktk ghorofa uzio si lazima. Naomba kujuzwa wakuu.Nitalipa pesa ya udalali kwa atakaeniwezesha kupata kwa bei hio kama zipo.

Mi ntakuwezesha kama unataka hizo za NHC mpya hapo Shekilango kuna jamaa yangu anayo moja ye amenunua ila anapangisha laki 6 kwa mwezi. Ame furnish ndani na anaweza akakupangishia kama ilivyo. We unaingia na mabegi yako tu na familia. Ni za room 2, sebule, jiko na ka dining cha kisela.
If you are interested nicheki
 
Habari zenu wakuu,
kwa anaefahamu wapi naweza
kupata nyumba kwa bei ya laki tatu na nusu au nne kwa vyumba
viwili,jiko,sebule.Kama ni apartments za nyumba za chini kuwe na uzio
kama ni apartments ktk ghorofa uzio si lazima. Naomba kujuzwa
wakuu.Nitalipa pesa ya udalali kwa atakaeniwezesha kupata kwa bei hio
kama zipo.

Njoo Kigamboni kuna nyumba ya kisasa na Tiles, vyumba 3, sebule, jiko, na fence kwa laki 4 unalipia miezi 6. Iko km 3 kutoka ferry!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom