Apartment zinapangishwa kimara

Hata wakinga hawaishi kimara, sembuse wageni wa kutoka nje ya nchi? Lol

Dalali umesahau kupiga picha reserve tank ya maji tuone ni ya lita ngapi?
Mi mwenyewe ninayekaa Temeke bado hujanipeleka Kimara; tena kwa Laki Tano; kodi ya miezi sita Temeke na change inarudi!!!!! Mleta mada usin'tanie.
 
Unawea kuandika upya hili tangazo kwa lafudhi ya kichaga labda ndio litaeleweka.


Asante.
 
Mi mwenyewe ninayekaa Temeke bado hujanipeleka Kimara; tena kwa Laki Tano; kodi ya miezi sita Temeke na change inarudi!!!!! Mleta mada usin'tanie.
labda chumba kimoja au chumba na sebule, inamaana temeke kwa laki5 inatosha kodi miezi 6 nyumba nzuri inayojitegemea au upande na chenji inarudi???!!
 
Ramani yenyewe niko hoi ,kwanini hizo ngazi zisiwepo ndani kwa ndani.Apartment za bongo. Ukiwa juu Sijui utawasiliana vp na mkeo Tsh 500000.you are having a laugh:bored:
 
Kuna mzee mmoja anaitwa Kondo maarufu kweli mitaa hiyo kwa nyumba kama ni nyumba zake poleni wapangaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom