Washauri jamaa wenye hizo apartment waziweke ziwe furnished then wapangishe kwa mda mfupi mfupi hasa wageni wengi wa kutoka nje ya nchi wawe wanafikia.
laki tano kimara?
kelleuwiiiiiiiiiiiiii
Too ambitious. Kariakoo ziko mpaka laki tatu na nusu. Nilipe laki tano na kisha nilipe gharama za mafuta na foleni. Khaaaaaaa
Khee..kimara kuna apartments siku hz?
Too ambitious. Kariakoo ziko mpaka laki tatu na nusu. Nilipe laki tano na kisha nilipe gharama za mafuta na foleni. Khaaaaaaa
Yaani mateso ya foleni niyalipie laki 5 ?
Yaani mateso ya foleni niyalipie laki 5 ?
Khee..kimara kuna apartments siku hz?
Hata wakinga hawaishi kimara, sembuse wageni wa kutoka nje ya nchi? Lol
Dalali umesahau kupiga picha reserve tank ya maji tuone ni ya lita ngapi?
wachaga wanapenda utajiri wa haraka balaaila hiyo amount ni nyingi sana, sasa kama kimara atalipa hiyo amount na kinondoni wanalipa kiasi gaani??