Apartment zinapangishwa kimara

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,060
281
Zipo mbili na kila moja ina vyumba viwili vya kulala kimojawapo kikiwa masta.jiko na sebure. Kila huduma muhimu inapatikana hapo. Kodi shs 500,000. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 075531223
attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • Apt-Mbele.jpg
    Apt-Mbele.jpg
    34.6 KB · Views: 1,043
  • Apt-Nyuma.jpg
    Apt-Nyuma.jpg
    28.3 KB · Views: 1,037
  • Apt-Side Stairs.jpg
    Apt-Side Stairs.jpg
    30.6 KB · Views: 1,023
  • Apt- Entry to Private Rooms from Sitting Room.jpg
    Apt- Entry to Private Rooms from Sitting Room.jpg
    20.9 KB · Views: 316
  • Apt- General Toilet.jpg
    Apt- General Toilet.jpg
    25.4 KB · Views: 281
  • Apt-Bafuni Master Bedroom.jpg
    Apt-Bafuni Master Bedroom.jpg
    22.5 KB · Views: 292
  • Apt-Bafuni Master Bedroom-2.jpg
    Apt-Bafuni Master Bedroom-2.jpg
    21.9 KB · Views: 296
  • Apt-General Room Wardrobe.jpg
    Apt-General Room Wardrobe.jpg
    24.5 KB · Views: 280
  • Apt-General WashBasin&Water Heater.jpg
    Apt-General WashBasin&Water Heater.jpg
    18.6 KB · Views: 289
  • Apt-Kitchen entrance.jpg
    Apt-Kitchen entrance.jpg
    31.5 KB · Views: 287
Washauri jamaa wenye hizo apartment waziweke ziwe furnished then wapangishe kwa mda mfupi mfupi hasa wageni wengi wa kutoka nje ya nchi wawe wanafikia.
 
Kitomai uwe unapeleka pia matangazo yako kwenye classfieds zingine kama advertising dar, inauzwa.com, zoomtz nk hapa jf watu wanaongea weeeeeee hadi inaboa sometime.
 
Last edited by a moderator:
We Kitomai acha uhuni. Nyie ndio mnaofanya gharama za maisha kuwa juu. Mnapandisha bei za nyumba za kupanga kwa uchu wa kodi ya mwezi mmoja, huku mkiwaacha wapangaji kwenye maumivu ya kudumu.

Nyumba hiyo ipo Kimara Mwisho. Ilikuwa gofu kwa muda mrefu. Ndio imefanyiwa finishing majuzi juzi tu. Haina thamani ya hiyo 500,000/-.

Zipo apartment kali kuliko hizo Kimara kwa 250,000/- tu.

Au hapo mnatoa na huduma ya usafiri kwa gharama hiyo hiyo?
 
Hata wakinga hawaishi kimara, sembuse wageni wa kutoka nje ya nchi? Lol

Dalali umesahau kupiga picha reserve tank ya maji tuone ni ya lita ngapi?

ila hiyo amount ni nyingi sana, sasa kama kimara atalipa hiyo amount na kinondoni wanalipa kiasi gaani??
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom