bei ni $ 3500,000 meza ya mazungumzo iko wazi.
Is this a joke? With this kind of money, you can easily get a 5 bedroom house hapa UK ukienda mitaa ya north huko. So unrealistic.Bei ni $ 3500,000 meza ya mazungumzo iko wazi.
kweli bongo imeharibika angalia nyumba hii ya nusu ya bei uliyotaja wewe na iko mbelembele hukoooooo..
View attachment 85605http://winchester.patch.com/articles/two-multi-million-dollar-homes-for-sale-in-winchester#photo-13208102
mi nataka na makalio yako kwa bei hiyohiyo!.Bei ni $ 3500,000 meza ya mazungumzo iko wazi.
smh. Smh.
nadhani hii kingdom inayojengwa ndani ya kingdom nyingine iitwayo Tanzania haiwezi kulast kwa miaka mingi.Bei ni $ 3,500,000 meza ya mazungumzo iko wazi.
Samahani wapendwa naomba kusahihisha, ni $ 350,000 pole kwa usumbufu uliojitokeza.
Dollar milioni tatu na nusu za wapi? Zimbabwe?
Actually wakati naandika response yangu nilidhani hiyo ndio bei yenyewe! Kumbe niliimiss sifuri moja? It doesnt change a thing, bado kwa apartment hiyo bei sio realistic.Samahani wapendwa naomba kusahihisha, ni $ 350,000 pole kwa usumbufu uliojitokeza.
Actually wakati naandika response yangu nilidhani hiyo ndio bei yenyewe! Kumbe niliimiss sifuri moja? It doesnt change a thing, bado kwa apartment hiyo bei sio realistic.