Apartment inauzwa mikocheni

Apartment inauzwa mikocheni

Bei ni $ 3500,000 meza ya mazungumzo iko wazi.

Acha utani wewe, dollar milioni tatu na nusu nanunua nyumba Los Angeles na change inabaki..Thibk again brother
 
Mkuu kwa bei ya $3.5Million mbona hata Ulaya/Merikani hawauzi flat kwa bei ya nama hiyo!!! Ua kuna kitu umekosea kwenye hesabu zako?

Mnukuu aliyetoa hesabu, si mimi.

Apartment ya dala milioni tatu unusu unanunua ndani ya Buckingham Palace?

Hata hiyo laki tatu unusu nanunua kitu cha nguvu Miami au Westchester County hapo.

Just outside of Boston hapo you can go as low as 20,000.

Detroit hapo hata kabla ya kufika 8 Miles unapewa (unapewa maanake, sio unanunua) kitu cha Nyambizi Mtulinga kwa $10,000. Ila ndo mambo ya "Broken glass, everywhere".

Ndani ya Shangai kwa bei hiyo unaweza kununua as many as apartments saba za haja.

This clearly is not a matter of value from the utility viewpoint, but rather the vagaries of an inflated market.

Nehemia Msechu kazi imemshinda?
 
Huu uzi umenifuragisha sana aise.
Nimetega mingo zangu inshaallah miaka 5 ijayo ntaweka kibindoni mzigo wa pesa ya halali niliyoitolea jasho,kisha ntashusha mdude wa $4m ufukweni mwa bahari ya hindi Dar.
Around 7Bln za kibongo!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom