Chum Chang
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 999
- 272
Well Done - Spencer West! You made it!
Bongo tumelala, yule jamaa anaitwa Mushi alipanda mlima Evarest hakuna hata aliye jali. walimuita kwenye mkutano wa kikwete wakamyeyusha tu. shit!
haki ya Mungu, ndio najua leo kama kuna mtu alipanda kwa mikono,napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa mleta mada na bila kumsaha mod anayehusika na kitengo hichi.
tembo anathaminiwa kuliko mlemavu tanzania.
na ukiona twiga kapanda ndege si kwa ajili ya kuweka rekodi guinnes ila ni dili linapigwa hapo.
Mimi pia nilimsifia sana huyu jamaa..Pia niliona soo maana pale kwetu Mlima uko uwani kwetu lakini hata siku moja sijafikilia kwenda kupanda....Jamaa amenikumbusha kwenye miti hakuna wajenzi,,Najapanga nami nikapande Mlima
Wengi unajijali kimaslai zaidi na kumuona alie weza aka jitahidi nimpumbavu
Shukrani nawe kwa kufahamu JF ni zaidi ya kuelimishana
Nchi ya kwanza dunianai kusafirisha vitega uchumi vyake vikanufaishe kwengine hali wenyewe wako taaabani
Waungwna mi nimepanda ule mlima na miguu miwili sehemu nyengine hadi na mikono ilaaaaa....naomba tu tumpe heshima jembe lililotumia mikono ..ule mlima ni kama kwenda kwa shetaniii
Afadhali nyinyi mnauliza kuh huyu jamaa...Nilipowajuza wahusika kuh hii inshu kama wanaifahamu hawakuwa na ili wala lile lakini hapa Marekani walikuwa wanaongelea sana kuh ushujaa wake wa kupnanda mlima mrefu barani afrika tena kwa mikono lakini sirikali mmmhh
chanzo
mpituli.blogspot.com