Apa ni mamvi tu!

Apa ni mamvi tu!

kifarangaa

Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
53
Reaction score
6
Baadhi ya watu wamekuwa wakitoa kashfa mbalimbali kuhusu lowasa,mara fisadi,mgonjwa,tajiri,anamarafiki matajiri nk.yote hayo waseme lkn wananchi wanamkubali na hatudanganyiki ata awe icu cc ni mamvi tu!
 
oh yeeeaaah daima mbele nyuma mwiko ... ntakesha kituon kusubiri kumpigia kura tumechokaaaa
 
Rais wetu tunaesubiri aapishwe ni Lowassa tu,hatutaji porojo zozote
 
Back
Top Bottom