Aolewe tena?

Sasa ujana akule na mume wake alaf uzee ndo anataka ampelekee nan!! Sababu yake hasa ya kutaka kuolewa inaweza ikawa ipi!? sioni hiyo haja nafkiri ni mtu ambaye ni tegemezi ndo maana anaona kama hana njia.
"Njoni wote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha" Yesu
 
Mwambie avumilie tu ndiyo ndoa hiyo.
Miaka yote hiyo alikuwa wapi mpaka akumbuke kuachana uzeeni?
Utakutana nayo si ndio umeingia huko wiki iliyopita.
 
Mwambie avumilie tu ndiyo ndoa hiyo.
Miaka yote hiyo alikuwa wapi mpaka akumbuke kuachana uzeeni?
Kweli nyani haoni kundule! Wewe si una miaka 35 na umeolewa wiki iliyopita? Kwani difference ya miaka chini ya 10 ni uzee? Naye ataolewa na shahawa zitakuwa bariiiidi
 
Dada yangu huyu hapa sijui kashauri au katoa yake ya moyoni ila khabari za asubuhi dada.
 
Yani huyo mama simuelewi alikuwa anapigwa toka from day one na bado akaenda zaa na watoto 4 oooh please.wewe kama ndoa yako ina tatizo hutazaa watoto wote tena ya manyanyaso ya kudundwa.kuna dada alikuwa ana watoto 4 anaishi nje aliachana na mme wake siku nyingi ila alipata mtu mwingine anayempenda wakaona kama miaka 3 iliyopita.sasa huyo wa ndugu yako ana mlevi hamna sababu ya kumuweka kuna watoto hapo nao wakikuwa watajionea sawa tu
 
Nimefanya counselling na kutoa ushauri ha ha ha
Hi evelyn...unajua kwa waafrica wana ile mentality ya kumwambia mtu avumilie which is not right kwa kweli.tena na ukiwa na watoto unashauriwa ubakie na huyo mwanamme.nimekaa nje ya tanzania miaka 18 kumbe mtu kama haupo happy una uwezo wa kujitegemea ila wakina mama wengine huogopa sababu hawana pa kwenda.mimi nina mtu nna mfahamu kamchoma mkewe kisu alikuwa amuuwe na bado wakaendelea pamoja ila baadaye mke alikuja hamua kumuacha mme wake aliona si wa kawaid.point yangu mnaona tuvumilie kisa watoto au
 
Hapo cha kwanza kuzingatia ni dini kama wenzangu walivyotangulia,,,hapa ndio mzizi ulipo,,la pili kama ana mchepuko wake unaomwambia utamuoa auangalie kwa makini sana,,,utakuja kumvunja moyo kuliko huyo mume halisi..Kama mume ni mchepukaji huyo mama atulie asali la sivyo hio nyumba siku zake zinahesabika.
 
Mimi natafuta mke tena awe na watoto tayari,nileteeni mimi nitampenda mpaka atachanganyikiwa.
 
Miaka 22 akivumjlia.....ana roho ya pekee aolewe tu akavumilie tena huko baadae ataolewa tena
 

Yaani ukiona watoto wanavyomfanya utadhani si baba yao! Ila aise,kila mtu hatama ni kichaa mpeni heshima yake. Jamaa alizaa nje ya ndoa mwaka huo ameoa,si kaleta yule mtoto wake (ni wa kiume) ambaye anazidiwa mwaka 1 na mtoto wake wa ndoa halali! Ila ndo amefanya mama yake wa kambo akae hapo. Maana mtoto anamshika baba yake na kumtwanga makofi na mitama hadi raha. Maana mama kamlelea mtoto bila kujali kamzaa nje
 
Maskini huyo mama ni wamama wachache wakafanya hivyo.
 
Aisee bonge la point.
 
Labda kama atataka mgegedaji awe SERENGETI maana kwa umri huo Nyamaume wote tumeoa!
 

Miaka 42 kuolewa tena??

Anaweza kuachana na mmewe lakini atageuka kuwa mchepuko tu wa wakware.

Miaka 42 kwa mwanamke ni mingi mno
 
Miaka 42 kuolewa tena??

Anaweza kuachana na mmewe lakini atageuka kuwa mchepuko tu wa wakware.

Miaka 42 kwa mwanamke ni mingi mno

Wingi wake ni upi ndugu? Maana mfano kama na wewe una watoto, hata usipozaa nae lakini mkasaidizana maendeleo huwaga kuna shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…