Mwambie avumilie tu ndiyo ndoa hiyo.
Miaka yote hiyo alikuwa wapi mpaka akumbuke kuachana uzeeni?
ANAWEZA KUOLEWA TU MAADAMU KIFAA CHA KUTUMIKA KIPO .... KAMA AKIMUHURUMIA MME WAKE BASI ATAFUTE NYUMBA NDOGOWazee,heri?
Ni mwana mama anahitaji ushauri na liko nje ya uwezo wangu mie. Hivyo nieona niwashilikishe.
Kakaa kwenye ndoa miaka 22.Na kaolewa kwa nguvu si kwa kupenda;hivyo hajawahi kumfurahia mwenzie.Anadai kupigwa na kunyanyaswa toka wiki ya kwanza ameolewa, na lijaribu kuachana na mmewe lakini sababu ya watoto ikawa inashindikana. Kwa sasa ndo mwenye kila kitu,mme ni kula,kulewa na kuuza vitu vya ndani.Sasa anadai anataka akaachane na mmewe kisheria na kutafuta mwanaumwe wa kuishi nae wanaependana. Ni story ndefu nimefupisha ila hata ndugu na wazazi wake walitakaga kumtoa huko akagoma na sasa amekubali.Ila issue ana watoto 4,anawaweza ila sasa mme ndo wakiachana anaweza akachizi maana hajiwezi hata kwa chupi tu! Huyu mwanamke anaweza kuolewa tena? Je anahitaji mwanaume wa umri gani(yeye ana kama 42)
ataolewa tu tena fasta wapo wengi tu wamechoshwa na maisha wanataka kupumzika na wanawake waliochoshwa pia, na ndoa itakuwa na amani sana, lkn km ndoa ilikuwa ya kikristo itakuwa ngumu
Nibebe eh? Ila mkubwa! Ananizidi miaka 6!!!Ndiyo....
Anaweza akaolewa na chaguo lake akafurahia raha ya ndoa siku zilizobaki...
We humtaki au unataka kuzingua tu? Au unakula mzigo chinichini?
vita miaka 22 iliyopita ilikuwa wapi?, nikumbushe ndugu! labda rwanda!
naona kama chai mkuu, ila kama ni mtusi nistue nasikia wapo safi kimtindo.
sasa kama ana 40+ si kama ni kuku kastaafu kutaga mayai.
Mgonjwa wa akili huyo kamateni tupia mirembe pale panamfaa sanaKaka eh, ni hivi,pamoja na mambo yote lakini lishikaji lazima libake!Yaani ka vile chizi. Jama wamevunjiwa ndoa kisa wanatembea na mkewe,hata ambao hawanaga issue nae.Ukimsalimia tu! Atakuibukia utamueleza vizuli kisa cha kugegeda mkewe. Sasa mwenzangu, mpango wa kuoa sina; mtoto wake mkubwa ana 22 years now! na ka umri kangu(34) kweli hapo tunaendana? Af aise labda afe vinginevyo ataua tu! ndoa iwepo isiwepo lazima! Katili unaambiwaga ujaona! Mtu anaedai kwamba na binti yake mkubwa siku akimkuta uchi lazima amle.Kwamba wanaomla hawamzidi dushe