Kiula s shashota
Member
- Jan 9, 2013
- 46
- 3
Mmmmm ivi hasaa inakuwaje mpaka unajutundika kisa mpenzi aaaaaaah mungu aninusuru lakini apana.
mioyo ya wengine ni milaini sana. Maumivu ya mapenzi yanashinda maumivu yote kwa maumivu.
Kweli, kutendwa ni balaa
Ukishaamua kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi, haijalishi wewe ni he au she, unatakiwa uwe na roho kama ya Mlugaluga. Risasi ikipigwa wewe sema...Maji...na inakuwa maji kweli!.mioyo ya wengine ni milaini sana. Maumivu ya mapenzi yanashinda maumivu yote kwa maumivu.
Ukishaamua kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi, haijalishi wewe ni he au she, unatakiwa uwe na roho kama ya Mlugaluga. Risasi ikipigwa wewe sema...Maji...na inakuwa maji kweli!.
Ndo maana mimi niliamua kuitikia wito wangu, mimi ni Paroko. Hi hi hi..rahisi kusema kuliko kutenda ndugu yangu. Yaani bora huko usiingie kabisa. Lol
Ndo maana mimi niliamua kuitikia wito wangu, mimi ni Paroko. Hi hi hi..
mi mwenyewe sister! Haleluyah!
Upo convent ya wapi ili Baba Paroko aje kukutembelea!.mi mwenyewe sister! Haleluyah!
Kama we sister shosti Kidawa ni nani?
Upo convent ya wapi ili Baba Paroko aje kukutembelea!.
Sawa mtumishi wa Mungu, mimi nipo hapa Sayusayu, vipi wewe upo Mwamapalala?.karibu sana baba paroko, mbona tupo majirani kabisa.
Sawa mtumishi wa Mungu, mimi nipo hapa Sayusayu, vipi wewe upo Mwamapalala?.
Good idea, lazima hawa mababa paroko wengine tuwalie denge!.mtumishi nitakupm nilipo, au unataka mababa paroko wengne wakutangulie!? Lol
Good idea, lazima hawa mababa paroko wengine tuwalie denge!.