Anything photos... Addicts only!

Sio chunusi bali ni mkondo wa maji usioonekana
Mkuu yalikuwa ni makatazo tu. Lakini hiyo hali haikumkuta hata mtoto mmoja.
Ingawa tulivyokuwa Tunarudi home tunakaguliwa macho.

Yakiwa mekundu tu, basi hapo ni kipigo cha haja. Ulikuwa Ngungani (Mtoni) mjinga wewe utavutwa na chunusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…