ingia piratesbay.com lakini intakiwa udownload kwanza flashget au ares, either download Internet Downloading Manager ni rahis zaid hapa nshadownload ngoma mpya ya eminem na bruno mars- lighters ni noooooooma
Mkuu kuna site nyingi sana za kudownload mp3, issue ni je unataka muziki gani?
Mfano kama unataka bongo fleva au taarabu huwezi kuzipata Thepiratebay au torrents sites zingine
Kwanza anza kwa kusearch ktk google wimbo unaoutaka kisha zitakuja link kibao za kudownload
Kama unapendelea full album za mbele torrents sites ndio mahala pake