Mbona adhabu ya mwanamke haikutajwa?
Mi binafsi kama ni adhabu kubwa ningempa mke na yule rafiki yangu angeondoka salama ila urafiki ndo ungekuwa umefikia kikomo.
Mwanamke ni mtu mzima na wala rafiki yangu hakutumia nguvu kupata tunda, ni tamaa za mke wangu ndo zilizopelekea hata rafiki yangu kula kwa bei hiyo.