Anyofoa nyeti za rafiki yake baada ya kumnasa 'live' akizini na mke wake!!

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,450
2,000


MKASA huu wa kusikitisha umetokea huko nchini NIGERIA ambapo bwana mmoja aliyetambulika kwa jinamoja tu la Gwara pale alipomfanyia umafia rafiki yake wa karibu bwana Brian Munemokwa kosa la kuzini na MKE wake.

Mwandisi wetu akitupasha kuhusiana na mkasa huo mzito anadai kuwa bwana Brian Munemo ambaye ni rafiki wa Gwara hapo mwanzoni alikuwa na mazoea ya kawaida kabisa na shemeji yake ambaye ni mke wa rafiki yake.
Bwana huyo amekuwa akitumia muda mwingi kuongea na shemeji ya na hivyo kutia shaka miongoni mwa watu.

Kitu cha kushangaza kabisa mgoni wa kike ambaye ni mke wa Gwara alidai kuwa siku hiyo shemeji yake huyo alimfuata wakati mumewe alikuwa bado hajarudi kutoka kazini na kuanza kumlazimisha wafanye mapenzi kwa GHARAMA ya $10 tu!!
Ndipo mke huyo kwa UCHU na ukata wa fedha alipokubali kuuza mwili wake kwa bwana huyo tena bila aibu akadiriki kufanyia ushenzi huo katika kitanda ambacho alikuwa analala na MUMEWE.

Dunia haina SIRI kwani wakati hayo yakiendelea kumbe majirani walikuwa tayari wameshausoma mchezo huo na hivyo kumuarifu mwenye mke ambaye aliwahi kwenye eneo la tukio na kuwafuma wagoni hao wakiwa katika PENZI zito kupindukia.

Bwana huyo hakuwa na huruma kabisa kwani mara baada ya kujionea walichokuwa wanafanya wawili hao ndipo alipoamua kumwangushaia kichapo kizito bwana huyo ambaye alikuwa ni rafiki wake wa muda mrefu na kama hiyo haitoshi mwenye Mke aliamua kunyofoa KENDE na rafiki yake huyo ambaye kwa uchungu aliamua kupiga makelele kuashiria kuomba msaada.

Ndipo majirani ambao walikuwa karribu walipofika karibu na tukio na kumzuia Gwara asiendelee kumdhuru rafiki yake huyo ambaye alimsaliti.

KESI hiyo bado ipo mahakamani ambapo inatarajiwa kutajwa hivi karibuni!!Chanzo na talk bongo.
 

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
3,089
1,225
Adhabu nzuri sana hii. Maana huyu mkware hatarudia kuwaharibia ndoa wengine ingawa kama ana mke ndiyo hivyo. Nadhani wanangu hili lilipaswa kuwa somo kubwa na zuri kama wengi wataliweka maanani.
 

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,613
2,000
Mbona hakuzinyofoa na za mwanamke.......................!:becky::becky::becky::confused2::becky::becky:
 

Asnam

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
4,259
1,225
dawa nzuri angetenganisha kiuno na kiwiliwili ili kusiwe na ushirikiano tena.
 

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,511
1,195
Mh huyu mkware mshenzi kweli anachukua mke wa rafiki halfu analala naye ndani kwa rafikie hapohapo!
 

piper

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
3,254
1,195
Ama kweli cha mtu mavi ukipita tema mate, ona sasa kende zimenyofolewa
 

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,458
1,250
Mbona hakuzinyofoa na za mwanamke.......................!:becky::becky::becky::confused2::becky::becky:
atashika wapi?
ulishasikia kisa kile cha mtoto mdogo baba yake alitoka kuoga ,kale katot kakaona mjusi then kakamkimbilia baba yake nakuninginia na naniliu yake ,badala ya baba kukasaidia kakala kichapi eti kama ni mama yako ungening'inia na nini?
 

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,613
2,000
atashika wapi?
ulishasikia kisa kile cha mtoto mdogo baba yake alitoka kuoga ,kale katot kakaona mjusi then kakamkimbilia baba yake nakuninginia na naniliu yake ,badala ya baba kukasaidia kakala kichapi eti kama ni mama yako ungening'inia na nini?
Anashika kile kitufee....................!:becky::becky::becky::becky::madgrin::becky::becky::becky::becky:
 

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
13,999
2,000
Mbona hakuzinyofoa na za mwanamke.......................!:becky::becky::becky::confused2::becky::becky:


TATIZO ZILE ZINA MASAHIBU SANA
ZINAGANDA GANDA,,USIKUTE ALIOGOPA KUNYOFOA KWA KUOGOPA KUGANDISHWA MKONO WAKE

OOH,,CHEZEA 'K' WEWE??

UTAGANDAAAH...??!!
:smile: :smile:
 
Top Bottom