Anyofoa nyeti za rafiki yake baada ya kumnasa 'live' akizini na mke wake!!

BESTI WANGU NIVEA HUA NAPITA PITA HUKU PIA

MADAME B NDIO KANIZOESHA HUKU

ILA MAMBO YA KIKUBWA HAYA YANAHUSIKA SANA NIVEA,,LOL..
:madgrin: :madgrin:
vipi jana uliangalia wrestling??? mapenda sana ila nashindwa kufuatilia ,penda sana undertaker na shon michael wacha tu
 
Swali la kizushi: Hivi ukinyofolewa kende yule bwana mdogo bado anaweza kuendelea kusimama inapotokea dharula?
 
vipi jana uliangalia wrestling??? Mapenda sana ila nashindwa kufuatilia ,penda sana undertaker na shon michael wacha tu


jana nilikosa muda ila hua nafatilia sana
kwa kweli,,big show na great white ndio vinara wangu wale

undertaker nadhani kapumzika kiaina,,naona kama kapotea uwanjani kiaina nivea
 
Mbona adhabu ya mwanamke haikutajwa?
Mi binafsi kama ni adhabu kubwa ningempa mke na yule rafiki yangu angeondoka salama ila urafiki ndo ungekuwa umefikia kikomo.
Mwanamke ni mtu mzima na wala rafiki yangu hakutumia nguvu kupata tunda, ni tamaa za mke wangu ndo zilizopelekea hata rafiki yangu kula kwa bei hiyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom