anyhelp please

Change_it

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
279
Reaction score
85
hi kitu inaitwa billing address kwenye credit card ndo nini? ni the same na ile posta au?
 
Ni ya posta ndio, but address ya bank yako. Yaani hiyo credit card si umepewa na bank? Basi address ya hiyo bank nd'o billing address. kama nimekosea wenzangu watakaofuata watanisaidia kurekebisha.

Nawasilisha,
FK
 
pouwa bt na card inatakiwa iwe na kiasi gani cha fedha ili niweze kuitumia online?
 
pouwa bt na card inatakiwa iwe na kiasi gani cha fedha ili niweze kuitumia online?

Mkuu naushauri hayo maswali ya debit/ credit card muulize provider wako. Unless wameshindwa kukusaidia Usije ukakuta unajiexpose kwa details ndogo ndogo tu . Watu wegine wana uwezo wa ku connect the dots....... Kuna winigeria wanajua kiswahili teh teh teh teh
 
pouwa bt na card inatakiwa iwe na kiasi gani cha fedha ili niweze kuitumia online?
inategemea unataka kununua nini,mimi huwa nanunua vitu online kwa kutumia paypal lakini kama nataka kununua kitu cha dola 500 basi akaunti yangu naweka sh laki saba na nusu za kitanzania,hii ukiconvert kwa dola baada ya manunuzi nAKUTA AKAUNTI yangu imebakiwa nakama sh 10000 za kitanzania,usijaribu kuweka pesa kwenye akaunti yako ya online kwani siku hizi wajanja ni wengi mno na hawana kazi za kufanya zaidi ya kutrace akaunti za watu mabalimbali mtandaoni.
 
shukrani wakuu kwa details zenu
 
duu kumbe ndo jinsi ilivyo basi mi ntakuwa si nunui kitu online hata wanieleweshe vip..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…