Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,776
...
Really really crooked...Kizzy Wizzy,
Hillary was really "CROOKED "..
Kuna mchina atayekuja andamana baada ya Tukio la Tianmen Square?..Maandamano ya Tianmen square yaliufundisha utawala wa beijing somo kuwa usiwaruhusu wachina kuingia mtaani ni hatari, na ndo maana censorship ya internet kwenye nchi yao ni kubwa mno