Any one in Jinja - Uganda

Hapo maeneo The Bell Lager na The Club bila kusahau Nile Special zilipata habari yake! Weekend uende Nile Cassino ukacheze za kiganda.

Vip Rock Garden, tembele night! kama uko strong.
 
hahaha umenikumbusha mbali yaani hilo masaoooo nilikua nasahau kila mara....najikuta nimepitilizwa!!

Sasa ulikuwa unafanyaje kurudi?? Pole Huku raha sana

hahaha Kavera muhimu mama kama wayapenda maisha! lol

Haya bana karibu Nile wewe ndo inakufaa
 
Pipooooz,

kwana nawasalim!
Sasa, kama kuna ktu anaishi Jinja naomba ani pm ili tuwetunawaliana tu na kupiga stori pamoja, mtaa naoishi bado sijaushika jina vizuri nitawataarifu.
Naomba kuwasilisha.

D wa 5

Thanks D5 Kama kuna m Bongo/jf yupo Accra kwasasa ani pm nipo hapa mpaka week end hii, itakua poa tuki hang out wote especially evining/night time
Nawasilisha
 
ah kumbe tupo wengi...haya na mie niko mukono, 20km from kampala, on jinja rd...wewe D5 unaweza shukia kwangu twende sote kiwatule!! aahahahha. nanyonyesha bwana ...kujikata miguu huku kwa kujitakia...haya bassebo na banayabo...mujevale?
 
Usijali tutakuja kumuona mtoto. Mukono mbona karibu nyabo????
 
:car: ntakupitia ivo ivo, mtoto muache na baba ake akilia mwambie amdanganyie pipi
 
Karibuni sana.....yeha mukono karibu sio mbali!

ahahahhaa....D5 wewe ndio mwisho wa mawazo...nimwachie babake twende tujivinjari eh? sintapew talaka bwana..wacha kaanze kula sima ndio atakiona cha mtema kuni!
 
Pipooooz,

kwana nawasalim!
Sasa, kama kuna ktu anaishi Jinja naomba ani pm ili tuwetunawaliana tu na kupiga stori pamoja, mtaa naoishi bado sijaushika jina vizuri nitawataarifu.
Naomba kuwasilisha.

D wa 5

Osuzile otya Ssebo?

Usisahau kunipitia Najanankumbi (Naja) twende zetu Kabalagala!

Au Tutaanzia Hotel Equitorial!
 
Karibuni sana.....yeha mukono karibu sio mbali!

ahahahhaa....D5 wewe ndio mwisho wa mawazo...nimwachie babake twende tujivinjari eh? sintapew talaka bwana..wacha kaanze kula sima ndio atakiona cha mtema kuni!

Tuwasiliane kwa ile namba niliyokupa sawa??
 
Huku wenzenu daladala zinaitwa Taxi.

Na ukipanda unasema "Stejiaho" Kama unashuka standi na kama ni msaada unasema "Masaooo" So Kimey ukija usisahau hilo

Osuzile otya Ssebo?

Usisahau kunipitia Najanankumbi (Naja) twende zetu [B]Kabalagala[/B]!

Au Tutaanzia Hotel Equitorial!
hahaha ningeshangaa usinge pita hapa!! hapo kwenye Nyekundu asee palinitambua bana!!
Habari yakeee baba Enock?
 
Back
Top Bottom