Any new updates for ndc - kibaha project

Any new updates for ndc - kibaha project

erickyy

Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
25
Reaction score
2
Naomba kwa mwenye new updates kwa wale waliofanya/waliofanyiwa usahili kama wameshaanza pigiwa simu kwa kuanza kwa training,maana kwa website yao no new updates until this moment,lakini naaminin kuna baadhi watakuwa na taarifa ama wamepigiwa simu na NDC.
natanguliza zangu shukrani kwa wote.
 
Raw material preparation & dissolution area operator.
 
Kuna aliyepigiwa simu akaaambiwa aanze jongea kwenye mpango wa trainning ya mradi huo ama mwenye taarifa ambazo zinasema lini wataanza waita kwenda kureport mjengoni.
Natanguliza zangu shukrani kwa yeyote mwenye updates za NDC under Bio-larvacide project at kibaha .
 
Watu walishaitwa tojka december ila si wote like Boiler operator na tayari walikuwa kibaha wakitest....sasa kwa post nyingine cjui ni lini. mimi pia na shauku ya kujua.
 
Mkuu shukrani kwa embu niflash kwa no hii 0714 141309
 
Wakuu hii mradi ya Biolarvicide plant ishaanza piga kazi nn!? maana hata feedback sijapata na pia kwa kwa waliyopta kwenye usaili watokea december,maana inaonekana kama kuna kesi inaamaliziwa. Na je napenda kuuliza second semester ya mwaka huu 2013 aliyosema balozi wa Cuba kwenye ufunguzi wa mradi huo ni kuanzia mwezi gani kwa waliyochaguliwa kuanza kupewa mafunzo ya awali!?
Natanguliza zangu shukrani kwa yeyote mwenye kujua ama wahusika wenyewe.
 
Back
Top Bottom